New Video: Dark Master - Madusko

Baada ya kukaa mda mrefu, hatimae Dark Master ameamua kurudi tena kuendelea kuwakilisha Chamber Squad n ngoma yake mpya ya "MADUSKO"

Bonge moja la video limefanywa na Kyonaboy Media Production....ni moja kati ya video kali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

0 comments: