Utengenezwaji wa Video ya "Mdogo-Mdogo" ya Diamond Platnumz

Tazama hapa dakika 46 za utengenezwaji wa video kali ya msanii wa bongofleva anayeiwakilisha Tanzania, raisi wa Wasafi WCB, Diamond Platnumz a.k.a Baba Zali.

Video ilifanywa na kampuni ya Godfather Productions kutoka South Africa na video ilifanywa maeneo tofauti ya nchini South Africa.

Kwa kweli ni video nzuri na inasemekana kuwa na gharana ya dola za kimarekani 30,000 sawa na zaidi ya shiling milion 48 za KiTanzania.

Angalia, enjoy...pia angalia video iliyokamilika tayari

0 comments: