New Audio: Andre K ft. Adam Shule Kongwe & Sailas - Ungenambia

Hii hapa ngoma mpya ya Andre K toka studio za Dreams Records, mzigo umesimamiwa na Sailas.

Ndani ameshirikishwa Adam Shule Kongwe wa Dom Down Click (DDC) na katika kiitikio yuko mtayarishaji wa ngoma hiyo, Sailas.

Fanya kusikiliza na kushare na wana kibao pande zote Tz 

0 comments: