Utengenezaji wa Video ya "Wanatetemeka" ya Queen Darleen ft. Shilole

Kama ujuavyo Jerry Muushala huwa hakosei katika utengenezaji wa video hasa za muziki wa Afrika Mashariki.

Kama kawaida yake na humu alifanya mazuri katika video ya "Wanatetemeka" ya Queen Darleen akimshirikisha Shilole.

Ingawa video imefanyika sehem moja, ila ilitoka poa sana.

Hebu ona jinsi ilivyotengenezwa, pia angalia video ya wimbo wenyewe baada ya kuisha

0 comments: