Utengenezaji wa Video ya "Nana" ya Diamond Platnumz ft. Mr Flavor

Diamond ni mmoja kati ya wasanii wanaopenda kuonyesha ni jinsi gani anafanya kazi yake hasa upande wa video.

Hii hapa nyuma ya pazia ya utengenezaji wa video ya "Nana" ya Diamond Platnumz akimshirikisha Mr Flavor chini ya Godfather Productions.

Pia chini utaona video iliyokamilika

0 comments: