Utengenezaji wa Video ya "Njoo Uchukue" ya Mrisho Mpoto ft. Felly Kano

Ikiwa imeongozwa na mmoja kati ya waongozaji maarufu na makini katika game ya mziki Tanzania, Adam Juma (AJ), hii hapa nyuma ya pazia ya utengenezaji wa video ya Njoo Uchukue ya Mrisho Mpoto.

Chini utaona pia video iliyokamilika

0 comments: