Utengenezaji wa Video ya "Alive" ya Bracket ft. Diamond Platnumz & Tiwa Savage

Alive ni moja kati ya collabo kali ya Bracket, Diamond Platnumz na Tiwa Savage. Video imefanywa na Godfather Productions katikati ya jiji la Johanesburg nchini Afrika Kusini.

Hii hapa chini ni nyuma ya pazia ya utengenezwaji wa video  hiyo na inayofuata ni video ambayo imeshakamilika.

0 comments: