Nuh Mziwanda na Shilole Warushiana Vijembe Insta

Wasanii maarufu wa mziki wa bongofleva Tanzania, Shilole a.k.a Kiuno a.k.a Shishi Baby na Nuh Mziwanda a.k.a Mr Bilima au mzee wa Zima Taa wamerushiana vijembe kupitia kurasa zao za instagram kila mmoja akimlenga au kumlaumu mwenzake japo vijembe hivyo vimefanywa bila kutajana majina, japo yaonekana hali si shwari baina yao.

Nuh na Shilole watupiana vijembe hivyo kwa kuonesha ugomvi wa waziwazi baina yao ingawa baadhi ya wadau wanasema ni kutafuta "KICK" hasa baada ya kufeli kwa kick kupitia kuongea au kuandika kingereza kibovu "broken english" katika kurasa zao hizo kila mmoja na wakati wake.



Ukurasa wa Shilole katika Instagram





















Ukurasa wa Nuh Mziwanda katika Instagram.




















Je ni ugomvi kweli au kutafuta kick/umaarufu? Au ni kweli kuna kamvurugano?
Je ni kweli Nuh kachoka habari za Shilole za kumuaibisha mbele za watu na mengine alokuwa akimfanyia?
Je ni kweli Shilole asemavyo Nuh haridhiki?

Mi na we hatujui ila yatakayojili tutawaletea zaidi.
Stay with Bongo Focus


0 comments: