Audio: M2 Benga ft. Kona King - Somo Langu

Moja kati ya ngoma kali sana zilizowahi kutoka na kutisha ndani ya mji mkuu, basi ni "SOMO LANGU" ya M2 Benga.

Hakika imesukwa na Mnyama Double pale G Sound Records.

Ndani ameshirikishwa Kona King wa Central Zone...Hebu sikia and enjoy hiphop

0 comments: