Audio | M2 Benga ft. Double - On Air

"On Air" ya M2 Benga wakiwa na Double Y ni moja kati ya ngoma kali sana iliyopata kusumbua kwa baadhi ya redio za Dodoma na Mwanza hasa Radio Free Africa.

Hii ngoma ilifanywa mwaka 2014 katika studio za G Sound Records za Kisasa, Dodoma chini ya mtayarishaji Double Y.

Ukali wa ngoma hii ni staili ya kuchana mistari iliyo na ladha kiasi kwamba ukisikiliza au kutaka kufananisha na wengine unaona kabisa mistari yao haina ladha sawa au kama ya M2 Benga.

On Air....hii hapa, ni kaliiiiiiiiiiiiiiiiii

0 comments: