Audio: M2 Benga ft. Double - Tofauti Sana

Kati ya makundi makali na yenye harakati za kutosha yanayowakilisha Dodoma, basi M2 Benga huwezi kosa kulitaja.

Ni kundi linaloundwa na majamaa wawili, Mdosi the Billionaire na Bosco Flow a.k.a Bosscore.

"Tofauti Sana" ni bonge moja la ngoma, likiwa limesukwa kiufundi na mtayarishaji Double Y a.k.a Mnyama Double.

Humo ndani ameshirikishwa Double Y.

Hakika, hii ngoma ni TOFAUTI SANA...

Enjoy

0 comments: