New Audio: Central Zone ft. BenPol - Mtoto wa Dom

Wale jamaa wa hiphop waliowahi kutamba na ngoma zao "Shakalaka" na "Tukutane Bank" waachia ngoma yao nyingine wakiwa wamemshirikisha Ben Pol.

Ngoma inaitwa "Mtoto wa Dom" ikiwa imetayarishwa vilivyo pale Tongwe Records.

Jamaa wanaitwa Central Zone, wakiwakilisha Dom City a.k.a The Capital.

Mtoto wa Dodoma hii hapa

0 comments: