Nyimbo za Siasa, UKAWA na CCM Hizi Hapa

Katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi wa Oktoba 25, 2015, wasanii wengi wa muziki wanatoa nyimbo mbalimbali za mambo ya siasa na uchaguzi kwa ujumla.

Je unapenda kuzisikia? 

Enhee, hapa ndo mahala pake.

Hizi hapa, za UKAWA na CCM

0 comments: