New Audio | Ramis ft. Chris - Africa

Moja kati ya ngoma mpya ambazo zimetoka hivi karibuni basi ni ya Ramis inayokwenda kwa jina la "Africa"

Ngoma imefanyika katika studio ya Kali Nation ya Kijitonyama, Dar es Salaam, chini ya mkali Chris FrayKay.

Chris pia ameshiriki vizuri katika wimbo huo

0 comments: