New Audio | Prof. Jay & Mr II Sugu - Makamanda

Moja kati ya nyimbo za siasa basi ni "Makamanda" ama "Mpaka Kieleweke" ambayo imefanywa na Joseph Haule (Prof Jay) ambaye ni mgombea Ubunge kupitia CHADEMA jimbo la Mikumi na Joseph Mbilinyi (Mr II Sugu) aliyekuwa mbunge wa CHADEMA jimbo la Mbeya mjini.

Imetoka si siku nyingi.

Enjoy

0 comments: