New Video | G Rico - Dharau

Moja kati ya video kali sana toka KyonaBoy Media Production ni hii hapa ya G Rico ya ngoma inayokwenda kwa jina la "Dharau"

Audio ya ngoma imefanyika chini ya Kiri Records.

Wataka kufaham Dharau imekuwaje? Tazama

0 comments: