New Video | TDX ft. Shashow - Drug Danger

Hakika ni ngoma ya kuhamasisha na video imeelezea vizuri sana uhusika wa Drug Abuse katika ngoma hii ya "Drug Danger"

Video imefanyika chini ya KyonaBoy Media Production, ni ya jamaa wa kuitwa TDX akiwa na Shashow wa Lunduno.

Audio ilifanywa na Man DVD

0 comments: