New Audio | Scob Mc ft. Flow J - Usijali

Moja kati ya wanamuziki wa hiphop na wanaharakati kutoka Dodoma basi ni Scob Mc.

Jamaa anafanya hiphop  poa sana na sasa ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "Usijali" ambayo ammeifanya katika studio ya B1 Records ya Makole, Dodoma.

Humu ndani ameshirikishwa mkali mwingine wa mavoko aitwae Flow J.

Je wapenda kujua kilichojiri?

Hebu sikiliza/download hapa

0 comments: