New Audio | Slogan ft. Miracle, Gifted Son & Rebecca - Longolongo

Mmoja kati ya wanaharakati mahili sana wanaowakilisha jiji la Dodoma basi ni Slogan Lecture.

Jamaa anatokea kundi la NO7 na DDC, na hapa kaja na ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Longolongo.

Ikiwa imesimamiwa na Double Y huko studio, humu ndani ameshirikishwa Miracle, Gifted Son na bidada Rebecca.

Sikiliza

0 comments: