New Video | DDC - Acheni Hizo Mishe

Kundi maarufu la hiphop kutoka Dodoma, DDC (Dom Down Click) limeachia video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la "Acheni Hizo Mishe".

Miracle na Javan ambao ndo hasa waliofanya wimbo huo, wameonyesha umahiri sana humo ndani.

Audio imefanyika pale AJ Records

0 comments: