New Audio: Raph Tz ft. Wynem - Karibu Kwetu

Baada ya wimbo wake "Kama PlayBoy" aliofanya na Suma Mnazalet na One Six kushindwa kukamilika katika muda uliotakiwa, Raph Tz aachia ngoma yake nyingine ili mashabiki wasikae kimya bila kumsikia.

Ngoma hiyo aliyoiachia leo mitandaoni inakwenda kwa jina la "Karibu Kwetu"



Ikiwa imesukwa vyema katika studio za Kali Nation chini ya mtayarishaji Chriss FrayKay, hii hapa ngoma ya Raph Tz

0 comments: