New Video: Uncreakable - Ya Moyoni

Kutoka Dodoma, huyu hapa anaitwa Uncreakable Che Guevara a.k.a Coin Boy akiwakilisha Rap Nation.

Hii hapa video ya ngoma yake inaitwa "Ya Moyoni" imeongozwa na Moe Kaali mmoja kati ya video directors toka Dodoma.

Watch and enjoy

0 comments: