New Video | Belle 9 - Shauri Zao

Kutoka kwake mkali Belle 9 wa Moro town, hii hapa video yake mpya ya ngoma mpya iitwayo "Shauri Zao"

Video imefanywa na Hanscana, na jana ndo imeachiwa kwa Tv na mitandao ya kijamii.

Audio ilifanyika pale Kiri Records.

SHAURI ZAOOOOOO hii hapa, bonge moja la video

0 comments: