New Audio | Chris ft. Spacio - Usife Moyo

Kama hujapata kusikia nyimbo nzuri za kumsifu Mungu, basi fanya kusikiliza huu hapa wimbo wa msanii na mtayarishaji (producer) wa nyimbo tofauti, Chris FrayKay.

"Usife Moyo" ni wimbo mzuri na wenye kukupa nguvu ya kutokata tamaa katika maisha na umtegemee Mungu peke yake mana ndo kila kitu.

Humu ndani ameshirikishwa Spacio Devine ambae pia mtayarishaji wa mziki.

Wimbo umefanyika studio ya Kali Nation, pande za Kijitonyama.

Usife Moyo ya Chris hii hapa

0 comments: