Audio | Baby Boy ft. Maunda Zorro & Jos Mtambo - Nafanya Nachoweza

Ukimzungumzia Baby Boy basi utakubali kuwa unamzungumzia mmoja kati ya wasanii wa bongofleva na hiphop ambao waliwahi pata nafasi ya kusikika katika chat za bongo ktk mziki wa kizazi kipya.

"Nafanya Nachoweza" ni moja kati ya ngoma kali sana alizowahi kufanya ambayo alimshirikisha mkali Jos Mtambo wa KigamboNINO pamoja na Maunda Zorro.

Ngoma imefanyika Tongwe Records.

Jina lake halisi ni Edson Wilson.

Ha ha ha anafanya anachoweza

0 comments: