Audio | Baby Boy - Hey Shori

Ni michano flani toka kwa Baby Boy akimwambia dem kuwa amembamba kinomanoma.

Jamaa alikuwaga mkali sana, na hii ngoma yake ya "Hey Shori" ilipikwa vyema katika studio ya Sei Records.

Ni ya muda mrefu, ila kila ukiisikiliza, utajua jinsi gani jamaa anajua kucheza na staili za mziki wakee.

Fanya kumsikia halafu useme, ni shidaaah

0 comments: