Audio | Baby Boy ft. Steve RnB - Tufurahi

"Tufurahi" ni moja kati ya ngoma kali za Baby Boy ambazo amewahi kufanya.

Kutoka Kiri Records, na mzigo ulisimamiwa na C9, TUFURAHI ndo habari ya mjini.

Humu ndani ameshirikishwa Steve RnB na amekaa poa sana katika kiitikio.

Nataka uwe nami tufurahi.

Ha ha ha furahi na Baby Boy na Steve RnB hapa

0 comments: