Audio | Baby Boy ft. Steve RnB - Tunapendana

Zilikuwa ni moja kati ya collabo kali sana toka kwa Baby Boy na Steve RnB ukiachana na ile ya "Tufurahi" na "One Love".

Ngoma inaitwa "Tunapendana" na kama kawaida Steve RnB amehusika vyema katika kiitikio na mbembwe nyingine kunogesha wimbo.

Mzigo umefanyika ndani ya Combination Sound chini ya Man Walter a.k.a Man Water au Man Maji.

TUNAPENDANA hii hapaaaaaaa

0 comments: