Video | Peodee & Nana Flow - Wavalie Miwani

The Black Minerals ni moja kati ya makundi makali ya bongofleva kutoka mjini Morogoro.

Peodee na Nana Flow ni miongoni mwa wasanii wa kundi hilo, na wameachia video ya ngoma inaitwa "Wavalie Miwani"

Ushawahi iona? Kama bado basi Bongo Focus ndo mahali pazuri pa kuweza kuicheck na kushare na wenzako waenjoy.


Audio ya ngoma hiyo ilifanyika Num Records na video imeongozwa na Director Master chini ya Num Prooduction.

Hii hapa video ya Wavalie Miwani ya Peodee na Nana Flow

0 comments: