New Video | Yunar - Nitulie

Hii hapa video mpya ya wimbo "Nitulie" wa mwanadada Yunar, msanii chipukizi anayejitahidi kuja katika mziki wa bongofleva.

Video imeongozwa na Dony & Davy chini ya Flyrise Video Production.

Hebu muangalie Yunar hapa

0 comments: