New Video | Noah Pv ft. Ibra O - Kura Yako


Hii hapa video ya wimbo maalum wa siasa ikiongelea "Kura" ya mTanzania hasa kuelekea kipindi hiki cha uchaguzi.

Wimbo unaitwa Kura Yako, na humo ndani yumo Noah Pv na Ibra O.

Video kali sana, imeongozwa na jamaa kutoka Dodoma na mkali wa hizi mambo aitwae Erick Backamaza.

Unapenda kuona Noah anazungumzia nini hasa?! Ona hapa



0 comments: