Video | Stosh ft. Bucho & Rizione - Waonyeshe Waone

Hii hapa video ya rapper mkali wa kike toka Tanzania anayejulikana kama Stosh.

Ni moja kati ya video kali iliyoongozwa na Minz Mims.

Humu ndani ameshirikishwa Bucho na Rizione.

Angalia, enjoy

0 comments: