New Video | Jaffarai ft. Kassim Mganga - Wakati

Jaffarai a.k.a Mr Niko Bize ameamua kurudi upya katika game na ngoma yake mpya iitwayo "Wakati" akiwa amemshirikisha Kassim Mganga a.k.a Tajiri.

Wakati ni moja kati ya video zilizowakutanisha wakali wawili wa kuongoza video, Minz Mims na Hanscana na wakafanya yao.

Wakati ya Jaffarai hii hapa

0 comments: