Video | Abdu Kiba ft. Ruby - Ayaya

Hakika kazi yoyote ya video kwa sasa hapa Tanzania ikifanywa/ikiongozwa na Hanscana inafika mbali na kuonekana sana mana jamaa anafanya vitu vya uhakika.

"Ayaya" ya Abdu Kiba akiwa na Ruby ni moja kati ya kazi zake. Iko vizuri sana kuanzia mazingira, uvaaji na wimbo wenyewe kwa ujumla.

Hii hapa video ya Ayaya

0 comments: