Video | Damian Soul ft. G Nako - Tudumishe

Huku mkali wa sauti tamu, kule mkali wa viitikio ndani ya bongofleva, hapa nawazungumzia Damian Soul na G Nako kutoka Weusi, kwa pamoja wakiwa wamefanya poa katika wimbo "Tudumishe"

Video imeongozwa na Hanscana na iko poa sana hakika hakuwaangusha wateja wake kwa kile alichokifanya.

Hebu angalia mwenyewe, enjoy halafu share na washkaji zako popote walipo

0 comments: