Video | Mirror - Hapo Ulipo

Mirror katika ubora wake kila siku amekuwa akifanya vizuri, na hii hapa ni kazi yake nyingine akiendelea kudhihirisha jinsi alivyo bora.

Video ya wimbo "Hapo Ulipo" inatamba sana katika vituo mbalimbali vya televisheni nchini Tanzania.

Video imeongozwa na Hanscana.

Hii hapa

0 comments: