New Video | Jaco Beatz & Malisam - Eeh Mola

Ukizungumzia waimbaji wa mziki wa bongofleva wanaowakilisha vizuri Dodoma, basi huwezi kuacha kuwataja Malisam na Jaco Beatz.

Kwa pamoja wamefanya ngoma ya kuitwa "Eh Mola" ni kama remix ya Nerea ya Saut Soul wa kutoka Kenya mana beat na melody zinafanana sana na ukisikiliza vizuri utadhani ni Nerea ile ile ila tofauti maneno.


Eeh Mola ni wimbo flan wa kuhusu siasa na mahususi kwa Mungu kuomba ailetee Tanzania kuleta kiongozi bora hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi, Oktoba 25, 2015.

Ikiwa ni video mpya kabisa ambayo imeachiwa tarehe 24 Septemba 2015 na kuongozwa na mahili wa mambo hayo toka Dodoma, ndugu Moe Kaali wa One 4 Pixel, kwa pamoja na Jaco Beatz na Malisam, hii hapa ya kwao "Eeh Mola ama Nerea Remix"

Enjoy the video


0 comments: