Video | Jaco Beatz - Amazing

Hii hapa video kali kutoka kwake Jaco Beatz, msanii na mtayarishaji wa muziki anayewakilisha Dodoma na Dar.

Video imeongozwa na Moe Kaali kutoka Dodoma, hakika hata video iko amazing, ya aina yake na huchoki kuiangalia.

Ina muda tangu imetoka, lakini bado haiishi hamu machoni pa watu.

Wamezoea kumuita The Golden Voice Man

Watch and enjoy

0 comments: