Dj John Dilinga Afanyiwa Upasuaji

Dj maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina John Dilinga a.k.a The Legend amelazwa katika hospital ya AgaKhan ya Dar es Salaam baada ya kufanyiwa upasuaji katika hospital hiyo.

Taarifa hizo amezitoa yeye mwenyewe katika ukurasa wake wa FACEBOOK masaa 8 yaliyopita baada ya kutoka katika operesheni.


JD kwa sasa amepumzishwa katika wodi namba 4 ya wagonjwa waliofanyiwa upasuaji hospitalini hapo.

Dj JD ambae kwa sasa anapiga pande za Isumba Lounge, ameshauriwa apumzike kwa muda hadi afya yake itapotengemaa

0 comments: