Video | Harmonize - Aiyola

Moja kati ya ngoma kali zilizotoka ni hii "Aiyola" ya Harmonize. Ni video nzuri na ngoma inayoelezea hisia kali za mapenzi. Imeongozwa na Nick Roux wa Afrika Kusini.

Jamaa yuko chini ya Wasafi Classic/Diamond Platnumz.

Bonge la ngoma 

0 comments: