Dodoma Kuazimisha Miaka 5 ya Redio Dodoma Fm 98.4 Siku ya Tarehe 19 Dec 2015

Redio maarufu na inayobamba sana ndani ya mji mkuu huko kanda ya kati, Dodoma Fm inayopatikana masafa ya 98.4, inategemea kuazimisha miaka 5 tangu kuanzishwa kwake.

Maazimisho hayo ambayo yanategemea kufanyika ndani ya Uwanja wa Jamhuri siku ya tarehe 19.12.2015 na kuhudhuriwa na watu mbali mbali yatasindikizwa na wasanii toka Dodoma na pia wasanii wakubwa kama vile Roma, Mesen, Pam D, Pah One na wasanii toka Dom kama vile One Six, Jaco Beatz, Zayumba, Wise One, Koku, BigBorn 90, Rap Nation na wengine.





Kiingilio ni Tsh 3000 tu.
Uje wewe na mwenzako na wengineo mje.

Unakosaje kwa mfano!!!!!!!!!

0 comments: