New Video | Pah One - Magoma ft. Christian Bella

Hii hapa kutoka kwa muongozaji wa video Minz Mimms, video ya kwao Pah One wakimshirikisha Christian Bella, ngoma inaitwa Magoma.

Ni moja kati ya video kali sana zilizotoka hivi karibuni.

Pah One waliwahi kuwa kundi moja na Nahreel na Aika wa Navy Kenzo

0 comments: