New Video | Beka Ibrozama - Come Back

Ikiwa ni wimbo mpya na video mpya kutoka kwa muongozaji Abyhencer a.k.a Einxer ama Mr.Maxum kama anavyojiita mwenyewe, huyu hapa Becka Ibrozama ndani ya bonge la video la wimbo "Come Back"

Kama ulishawahi angalia video, ama hakika hii ni moja kati ya video kali sanaaaaaa.

Watch and Enjoy

0 comments: