Usiku wa Madoido - Yamoto Band, Dodoma 20 Nov 2015

Lile kundi maarufu la bongofleva, Yamoto Band a.k.a Mkubwa na Wanawe linatarajia kufanya show kali pande za Club 7 na Ngalawa Bar zilizoko Area D, Dodoma zamani Royal Village.

Show hiyo iliyopewa jina la "USIKU WA MADOIDO" unategemea kufanyika tarehe 20.11.2015 kuanzia mida ya saa 1 jioni na kuendelea ambapo Yamoto Band wanategemewa kufanya LIVE SHOW kali kwa kupiga LIVE Band.

Imedhaminiwa na Nyemo Fm 97.7 na wengine wengi.

Ushamuona CHIBA wa Yamoto? USIKOSE

0 comments: