New Video | Dashan ft. Jimmy Kasto - Kumbuka

Moja kati ya video zilizotoka hivi karibuni katika mziki wa bongo fleva basi ni ya kwake kijana aitwae Dashan "Dashan Flavor" akimshirikisha Jimmy Kasto.
Ni video ya wimbo "KUMBUKA" iliyoongozwa na director Raph Tz wa Kali Nation Media.

Audio ilifanywa na producer Badru.



Ni moja kati ya vijana wanaochipukia na kwa staili ya uimbaji wake hakika utavutia mashabiki wengi huku akipendelea kuimba visa vya kweli katika utunzi wake.
Hii hapa.


0 comments: