New Audio | Raph Tz - Marafiki Wanafki ft. Benah, Mchaji & Man Snepa

"Marafiki Wanafki" ya kwake Raph Tz ni moja kati ya ngoma kali mpya ambayo imetoka hivi karibuni. Ngoma hii imepikwa katika studio mpya za mtu mzima Mr T Touch ambae kwa sasa kijiti cha utayarishaji mziki bora kipo kwake.

Katika ngoma hiyo, Raph Tz amewashirikisha Benah, Man Snepa Mchaji ambae pia amehusika katika kuandaa mdundo wa ngoma yenyewe na.


Raph Tz katika ngoma hiyo anawaongelea marafiki ambao ni wanafki na wanaofanya mambo ambayo hayastahili kwa watu wao wa karibu, ni kama ujumbe flani hivi wa kweli japo hajauweka wazi hasa unamlenga nani.

Hii hapa ngoma ya kwake Raph Tz....


0 comments: