Joti Atisha na "Ndi Ndi Ndi" Cover Ya Lady J Dee

Msanii wa vichekesho na maigizo Lucas Lazaro Mhuvile ambaye anafahamika kama JOTI amefanya video kwa kuiga kuimba wimbo wa Lady J Dee "Ndi Ndi Ndi" ambao kwa sasa ni gumzo katika vituo mbali mbali vya redio na televisheni.

Video hiyo inayomuonesha msanii Joti akiigiza matukio tofauti na sehemu nyingine kuvaa uhusika wa Lady J Dee akionekana kuwa makini na kitu akifanyacho.


Joti amekuwa mtu wa vituko na kufanya watu kuifurahia video hiyo ya msanii nguli wa kike wa bongofleva, Lady J Dee.

Hii hapa NDI NDI NDI COVER ya Joti


0 comments: