Video | Lady J Dee - Ndi Ndi Ndi

Lady J Dee kwa video ya Ndi Ndi Ndi ama hakika amepiga hatua kubwa sana. Ni moja kati ya video kali alizowahi kufanya msanii huyo nyota wa kike Tanzania anayependa kujiita Komando.

Video imefanyika nchini Afrika ya Kusini chini ya mwongozaji Justin Campos ambae amekuwa tishio sana kwa video nyingine zinazofanywa nchini humo hasa kwa wasanii toka Tanzania.

Hii hapa Ndi Ndi Ndi

0 comments: