Video | The Snipers - Sina Habari

Moja kati ya video kali zilizowahi kutengenezwa na muongozaji kutoka Dodoma, Erick Backamaza basi ni video ya wimbo "Sina Habari" wa The Snipers.

Video imefanyikia Dodoma na ni kali sana aisee kuanzia mpangilio wa mavazi, maeneo ya kufanyia video, wahusika na mambo kibao.

Hebu angalia halafu share na washkaji

0 comments: