New Video | Rich Mavoko - Ibaki Stori

Baada ya kutia saini mkataba wa kujiunga na kampuni/kundi la WCB (Wasafi Classic Baby), Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake mpya ambayo imefanyika nchini Afrika Kusini.

Video imeongozwa na NIKI na wimbo unaitwa "Ibaki Story"

Hii hapa

0 comments: